|     Wasiliana nasi      |     

LINGUAMÓN - Casa de les Llengües

Halmashauri ya sayansi ulimwenguni

Mwanzo > Nyumba ya Lugha > Halmashauri ya sayansi ulimwenguni

Halmashauri ya sayansi ulimwenguni

Halmashauri ulimwenguni ya Linguamón – Nyumba ya lugha

Comitè Científic Internacional

Hii halmashauri ya sayansi ulimwenguni ya Linguamón – Nyumba ya lugha siku 11 ya Julai, imeongozwa na Rais wa Serikali ya Catalonya Pasqual Maragall juu ya vilugha, iko na watu wale wana julikua ulimwenguni, ile tatizo inataka kutueleza ni juu ya usaistaldizi ya Sayansi na vilugha vinyewe.

Hii halmashauri pia imeongozwa na Mwalimu wa vilugha wa cheo kikubwa David Crystal. Yeye alitueleza sababu gani ni muhimu vilugha viguvu. Hii halmashuari iko na wajuaji wa elimu zingine juu ya lugha, biashara na tatizo ya maendeleo ya binadamu.

Hao wajuaji ni;

Rais David Crystal, Uwelish. Mwandikaji, msomaji, mtengezaji. Yeye ndiyo ameongoza shughuli ya lugha ya kiingereza, alipatiwa cheo ya "order of the British Empire". Anajulika pia kwa kazi zake za kuendesha villugha kwa elimu, kwa religioni, kwa kufanya maendeleo za vilugha  ifanye kurekebisha tatizo  ya binadamu. Yeye ni Mwalimu wa chuo kikuu ya uwelish (Bangor), yeye ni Rais wa  chama cha kiingereza ya usomaji.

Peter Austin, Muastralia. Mjuaji wa villugha vya Ustralia, yeye ni mkubwa wa moingi ya lugha zilw zinenda kupotea. Mwalimu wa shule ya masomo ya Uafrikani na Uskazini wa chuo kikuu ya Ingereza London.

Colin Baker, Uwelish. Mwalimu wa chuo kikuu ya Uwelish Bangor. Yeye ni mjuaji wa elimu na lugha.

Ayo Bamgbose, Unaijeria. Mjuaji wa vilugha vya Uafrika. Yeye ni mwalimu wa Chuo kikuu ya Ibadan.

Jean Claude Corbeil, Québec. Yeye ukona cheo kikubwa ya Chuo kikubwa ya Strasbourg. Yeye alikuwa ule mjuaji wa lugha ya Ufaransa wa ngozi ya Quebec na msemaji wa Serikali ya Quebec kwa tatizo ya lugha.

M. Carmen Garmendia, Inchi ya Ubasc, Uhispania. Yeye alikuwa mwaziri wa kalcha na pia alikuwa mwaziri wa lugha ya Serikali ya Ubasc.

François Grin, Uswis. Mwalimu wa biashara wa chuo kikuu ya Genevva na mjuaji wa kuuelesha lugha na biashara.

Monica Heller, Ucanada. Mjuaji wa tatizo ya maendeleo ya lugha na binadamu wa Chuo kikuu  ya Toronto. Yeye ni mjuaji wa tatizo ya binadamu usafarini.

M.Carme Junyent, Catalonya, Uhispania. Mwalimu wa kilugha wa Chuo kikuu ya Barcelona. Yeye mwongozaji wa maendeleo ya lugha zile zinaenda kupotea.

Luis Enrique López, Ubolivya. Mwalimu wa Chuo kikuu ya San Simón Mayor. Msemaji kwa maendeleo ya lugha kuuelesha na elimu ya Andes.

Guillem Lopez Casanovas, Minorca, Uhispania. Mbiasharista na msemaji wa benki ya Uhispania. Mwalimu wa Biashara wa Chuo kikuu ya Pompeu Fabra.

Isidor  Mari, Ibiza, Uhispania. Mkubwa wa Chuo kikuu ya  Catalonya. Mjuaji wa tatizo ya maendeleo ya lugha na binadamu.

Marianne Mithun, Uamerika. Mwalimu wa Chuo kikuu ya California, Santa Barbara. Mpelelezi wa lugha zile ziko na wanainchi wadogo.

Juan Carlos Moreno, Madrid, Uhispania. Mwalimu wa kilugha wa Chuo kikuu ya Madrid. Mwandikaji wa masomo nyingi juu ya lugha za dunia na watu wale  wanahusu.

Peter Muhlhäusler, Ustralia. Mwalimu kilugha wa Chuo Kikuu ya Adelaide na cheo mkubwa wa shule ya Linacre, Oxford. Yeye ni mjuaji wa maendeleo ya lugha, sauti ya kilugha, vilugha vidogo na interkaltcha.

Òscar Pujol, Catalonya, Uhispania. Yeye ukona cheo chikubwa ya Chuo kikuu ya Banaras. Muongozaji wa elimu za Uasia ya Barcelona.

Xavier Sala i Martin, Catalonya, Uhispania. Mbiasharista anajulika duniani na ni Mwalimu wa biashara wa Chuo kikuu ya Columbia na Mwalimu mgeu wa biashara wa Chuo Kikuu ya Pompeu Fabra.

Joe Sheils, Ingereza. Ni mkubwa wa chama ya Uropa ya idara ya lugha. Yeye ni mjuaji wa elimu.

Jesús Tuson, Valencia, Uhispania. Mwalimu wa kilugha wa Chuo kikuu ya Barcelona. Mwandikaji wa kitabu juu ya vilugha na kitabu juu ya interkaltcha.

Llorenç Valverde, Majorca, Uhispania. Mwalimu wa Sayansi ya Kompyuta na akili ya binadamu. Yeye ni mkubwa wa Chuo kikuu ya Catalonya jili ya tecnologi. Yeye ni mjuaji wa usomo na tecnologi ya kuonana.

Colin Wiliams, Uwelish. Mjuaji wa maendeleo ya lugha na binadamu wa Chuo kikuu ya Cardiff.  Yeye ni mjuaji wa Sayansi  ya watu na dunia na binadamu na maendeleo ya lugha.

Generalitat de Catalunya
Casa de les Llengües ©